Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo jamaa fala. Mkewe alipokuwa ananenepa yeye alikuwa wapi? Hata kama kanenepa, anashindwaje kuuelewa mwili wa mkewe na kwenda naye sawa? Watu tunapambana na majimama ya kufa mtu hulijui mbele wala nyuma lakini mwanaume unahangaika mpaka linabubujika sembuse mai waifu wako kabisa unayemwelewa vizuri? Mtafuta kiki tu huyo hana lolote [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…