Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afrika ukitafuna rushwa kisha ukanunua kigari au kanyumba unasifiwa.
Usipokula rushwa kisha kumiliki vitu vya thamani hukubaliki mbele jamii.
Afrika na rushwa ni kama chanda na pete. Kila sekta tena rushwa zile za kijinga tu na kihayawani. Bara la ajabu sana hili wallahi
Kula rushwa barani Afrika ni tendo la kishuja[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…