Anaongelea hiyo reaction ya makopa niliyoitoa kwa mrembo wakeMimi sikuelewa japo nimeona jina langu hapo. Unaweza kunifafanulia?
Mkuu niaje
Kweli Mfungo umeisha Bro,😂😂😂😂😂😂. Dah
Bro nimecheka sana
Eee nnazo tatu mkuu!Bro unamiliki manati ya Mzungu. Dah ngoja heshima ifuate mkondo wake
Me na mabinti dam dam
Hahah bro!How about me? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Siyo kweli. Haiwezi kuwa siriazi...
Kama matani hayo yanakukera toa kauli tu na wadau wataacha mara moja..
Hahah!Wewe broo
"Ni makaburu tu" (in Mwl. Nyerere's voice)....Yani naanzaje kua Musuku [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Ofu kozi...
King Mswati bana [emoji16][emoji16][emoji16]
"Ni makaburu tu" (in Mwl. Nyerere's voice)....
Kuwa racist siyo lazima kuwa na ngozi nyeupe indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Pamoja sana broHakika mkuu nipo likizo kidogo nitawa nanyi kwa muda mrefu