Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwangu sex sio kipaumbele ninapoenda home kwa sweet. Nimejibu swali lako mpendwa
 
Nadhani bara zima limetapakaa malimbukeni, watu wana tamaa ya kumiliki majengo ya thamani lakini vipato vyao haviwaruhusu, wana tamaa ya kumiliki chopa kama Gwajima lakini mshahara wa milioni 3 za serikali hautoshi.
Wana tamaa ya kila kitu lakini hawana uwezo, mwisho wanajiingiza kwenye uhayawani.
Ukifanikiwa unaweza kujiondoa kwenye bara hili
Na kwa sababu hii rushwa haitakaa iishe Afrika !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…