Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama kocha, nataka waendelee (Mbappe na Neymar) lakini hili ni soka. Klabu nyingi zinataka kununua wachezaji na kwa sasa soko la wachezaji kama vile lina wazimu, lakini ukiniuliza kama kocha nitakwambia nataka waendelee kukipiga hapa msimu ujao. Lakini kama hawatakuwepo tutatafuta mbinu nyingine,” alisema Tuchel.
 
Ni kitu muhimu kwangu, nimefika katika kipindi muhimu cha maisha yangu ya soka. Nimegundua mengi hapa, na nadhani ni kipindi ambacho inabidi nibebe majukumu zaidi. Nadhani hilo linaweza kuwa PSG , itakuwa vizuri, au inaweza kuwa kwingineko ambako kuna mradi mpya,” alisema Mbappe.
 
Madrid inaonekana kupania kujenga upya kikosi chao msimu huu baada ya kumpoteza Cristiano Ronaldo aliyekwenda Juventus katika dirisha lililopita, lakini pia wamepoteza taji lao la Ulaya walilotwaa mara tatu mfululizo na safari hii limechukuliwa na Liverpool.
 
Tayari wametangaza kumnasa mshambuliaji nyota wa kimataifa wa Serbia, Luka Jovic kutoka klabu ya Eintracht Frankfurt ya Ujerumani na staa huyo amesaini mkataba wa miaka sita huku ikiwa ni kiashiria cha mwisho wa staa wao wa kimataifa wa Ufaransa, Karim Benzema.
 
Madrid pia wapo katika dakika za mwisho kumnasa staa wa kimataifa wa Ubelgiji, Eden Hazard kutoka Chelsea huku dili hilo likikaribia kukamimilika na litamuona Hazard akitua Santiago Bernabeu kwa dau la pauni 115 milioni.
 
Staa mwingine ambaye anaweza kutua klabuni hapo katika dirisha hili ni kiungo wa kimataifa wa Ufaransa wa Manchester United, Paul Pogba ambaye inadaiwa yuko tayari kupunguzwa sehemu ya mshahara wake ili aende Santiago Bernabeu.
 
Mbunge mwingine mwenye nongwa huyu kama Bashe na Nape kwa maneno ya chakubanga. 2020 asahau kurudi mjengoni nduli na dikteta wa magogono yuko busy kuimarisha Bunge DHAIFU.
Kama litaenguliwa, group lote hili (na pengine Januari pia) 2020 litahamia CHADEMA au kwa ZZK...na kwa vile linajua mbinu zote naamini azma ya wananchi itatimia.
 
Staa mwingine ambaye anaweza kutua klabuni hapo katika dirisha hili ni kiungo wa kimataifa wa Ufaransa wa Manchester United, Paul Pogba ambaye inadaiwa yuko tayari kupunguzwa sehemu ya mshahara wake ili aende Santiago Bernabeu.
 
Kuna mastaa ambao wanatazamia kupisha njia kwa wachezaji wengine. Nyota Gareth Bale ambaye alinunuliwa kwa mbwembwe na Madrid mwaka 2013 kwa rekodi ya uhamisho ya dunia ameambiwa wazi na Zidane kwamba, hayupo katika mipango yake na ni wazi anaweza kurudi England.
 
Kama litaenguliwa, group lote hili (na pengine Januari pia) 2020 litahamia CHADEMA au kwa ZZK...na kwa vile linajua mbinu zote naamini azma ya wananchi itatimia.
Ngumu sana bro. Siasa za afrika zina mengi. Cheki lowassa kashindwa kutusua alipohamia CDM sababu alihama yeye ila shina na mizizi ilibaki Ccm.
 
Wengine ambao watapisha njia kwa Madrid mpya ni pamoja na kiungo wa kimataifa wa Colombia, James Rodriguez aliyecheza kwa mkopo wa misimu miwili Bayern Munich, lakini klabu hiyo ya Ujerumani imeamua kutomchukua na sasa anaweza kuelekea England au Italia. Kipa Keylor Navas pia anaweza kuondoka klabuni hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…