Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Braza BAK za subuhiRawStory noted that besides the typos, Gingrich’s facts are wrong:
Braza BAK za subuhiRawStory noted that besides the typos, Gingrich’s facts are wrong:
Braza BAK za subuhi
Namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa Mkuu thanks [emoji1431] for asking. Vipi weye Mkuu umeamkaje?
Kwa neema za Mungu mambo yako faya kwa kweli. Ai kenti kompuleini...Sana mkuu mungu anasaidia naona kwako pia mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Naam mambo si mabaya na appreciate uwepo wako mtu makini...Lets get rolling.....bro
PointNadhani bara zima limetapakaa malimbukeni, watu wana tamaa ya kumiliki majengo ya thamani lakini vipato vyao haviwaruhusu, wana tamaa ya kumiliki chopa kama Gwajima lakini mshahara wa milioni 3 za serikali hautoshi.
Wana tamaa ya kila kitu lakini hawana uwezo, mwisho wanajiingiza kwenye uhayawani.
Ukifanikiwa unaweza kujiondoa kwenye bara hili
Salama kabisa ..kwako?Good morning Wanalikes
Basi wanayemuita dada wa taifa anapika wali mwingiii jumatatu anaweka kwenye friji anatoa kidogo kidogo kula na wanae mpaka ijumaa full kujisifia maujanja na kupunguza pilikapilika za jikonKiporo cha wali maharage na chai ya rangi ni habari nyingine aisee. Hapo yaani huniambii kitu [emoji16][emoji16][emoji16]