Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sana mkuu mungu anasaidia naona kwako pia mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa neema za Mungu mambo yako faya kwa kweli. Ai kenti kompuleini...

Halafu jana uliniudhi mpaka nikataka kukuporomoshea povu ila nikaghairi kiaina. Angalia utani wako usizidi sana vinginevyo utakuja kuchezea vitasa kutoka kwa big bros ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Point
 
Kiporo cha wali maharage na chai ya rangi ni habari nyingine aisee. Hapo yaani huniambii kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
Basi wanayemuita dada wa taifa anapika wali mwingiii jumatatu anaweka kwenye friji anatoa kidogo kidogo kula na wanae mpaka ijumaa full kujisifia maujanja na kupunguza pilikapilika za jikon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…