Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NAKU UNFOLLOW JOSÉ Rais Yoweri Museveni amesitisha kumfuata (unfollow) Jose Chameleone katika matandao wa Twitter, baada ya mwanamuziki huyo kujiunga Chama cha Demokrasia, akiwa na lengo la kuwa Meya wa Kampala mwaka 2021. Jose alikuwa miongoni mwa walioimba wimbo wa kampeni wa Rais Museveni 2016.
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]shemejiiiii...
Heshima ya ukoo hulindwa kwa namna yoyote ile... Hata ikibidi kifo...
Mwanaume yeyote ambaye hajakuelewa hakika atakuwa ni mvulana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…