Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha
 
Ina maana hata jiwe umeacha kumpa za uso? Au uko likizo Bongo unaogopa wasiojulikana ila ukirudi kwako harakati zinarudi upya?
Toka arudi msaliti lowassa nimeamua kuachana na siasa nikifikilia jinsi nilivyokuwa sikosi kwenye mikutano yake ikiwa dar enzi za uchaguzi dadeki 😟😟😟
 
Nakumbuka ISIS alikuwa hapendi picha za misambwanda hadi akatangaza kutozipa likes picha hizo, mzee baba nawe ukaungana na malkia kutuponda, mimi na Katibu wangu tukakaza, Mzee wa pwani nae akaanza kutuponda, jeshi la mtu mbili tukakomaa tu (ashukuriwe MKOROMIJE kwa uvumilivu) kutupia mipicha yenye mvuto na uhalisia, mara Mzee wa liver ukaanza kumsaliti Malkia kwa kuzisifia kimoyo moyo,ulivyo shitukiwa akaruhusiwa kuzisifia naye akaanza kuzitwanga "mi-likes"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Isingekuwa uimara wetu Cole Williams angetumaliza kwa parabozi zake za kuponda vibonge.
#nimekumbukambalisana#
#bintimpoleakiitwamamaushauri#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…