Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa hizo zana unaachiwa kama mtu kaweka bondi au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hili jipya bro nimeona nikupunguze speed bado mapema kabisa ....

Tanga noma: Kama una mwili mdogo mdogo ata kwenye beseni unatumbukizwa unaoshwa chai maana sio maji tena na hivyo viungo
Wozaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Tanga raha sana mzee,naona unanipa maujuzi,maana tayali ww u mzoefu na mambo ya Tangaaa

Inabidi tukae kikao unipe full data[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizo zana unaachiwa kama mtu kaweka bondi au?
Ili uwe na matumaini kuwa siku moja utanyandua. Tena huko kwa masela mtu unajidai kweli na kuwaringishia kuwa tayari upo kwenye mchakato na ushahidi unao.

Na kijana ulikuwa huruhusiwi kunyoa zile nywele za ikulu kabla hujagegeda. Mambo yalikuja kuharibika watu walipogundua mitaa ya Wahaya mjini huko na kuwa wanakata short cut kwenda kujiripua...
 
Wozaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Tanga raha sana mzee,naona unanipa maujuzi,maana tayali ww u mzoefu na mambo ya Tangaaa

Inabidi tukae kikao unipe full data[emoji23][emoji23]
Hapana uzoefu naupata kutoka kwako mzee mwenzangu wewe sindio umesema huwa unaoshwa umekaa kwenye Kogoda...

Mitihani ya Sup ikipita nitakuja kukusalimu huko TA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah! Vitu vingine ukihadisiwa unaweza kuhisi ni chai.... Muda upo kasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…