Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa kaamua kujiripua liwalo na liwe...

Ila nyie vijana wa siku hizi kazi mnayo dadeki. Hata sijui mnasavaivu vipi kwenye mahusiano kipindi hichi. Enzi zetu miaka ya 60 ilikuwa rahaaaa. Hakuna cha simu wala nini mwendo wa barua hata presha hakuna. Demu wa Kisukuma hata miezi sita unakata hujaonjeshwa kila ukikazana unaishia tu kupewa kanga, shanga na vyupi kama rehani ili usikate tamaa...mhhh
😁😁😁 Mvumilivu hula mbivu!
 
.
FB_IMG_1547116494486.jpeg
 
Back
Top Bottom