Salaam ndugu yangu, kwema huko?Salaam mkuu.
umejuaje..yani nimetoka hapa naambiwa nina typhoid mzeeAmin
Kawaida ya uzi huu. Just go with the flow [emoji16][emoji16][emoji16]Mshaanza kuniundia skendo! dah
kuna raia wanakojolea mashine za ahatari hatari
moudgulf
andjul
Jamaa kaamua kujiripua liwalo na liwe...
Ila nyie vijana wa siku hizi kazi mnayo dadeki. Hata sijui mnasavaivu vipi kwenye mahusiano kipindi hichi. Enzi zetu miaka ya 60 ilikuwa rahaaaa. Hakuna cha simu wala nini mwendo wa barua hata presha hakuna. Demu wa Kisukuma hata miezi sita unakata hujaonjeshwa kila ukikazana unaishia tu kupewa kanga, shanga na vyupi kama rehani ili usikate tamaa...mhhh