Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana uzoefu naupata kutoka kwako mzee mwenzangu wewe sindio umesema huwa unaoshwa umekaa kwenye Kogoda...

Mitihani ya Sup ikipita nitakuja kukusalimu huko TA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,kesi imegeukia kwangu tena..

Sawa sawa,pambana na hzo sup bhana,safari hii mimi nmeclear sina vimeo[emoji2][emoji2][emoji123]
 
Huyo jamaa fala. Mkewe alipokuwa ananenepa yeye alikuwa wapi? Hata kama kanenepa, anashindwaje kuuelewa mwili wa mkewe na kwenda naye sawa? Watu tunapambana na majimama ya kufa mtu hulijui mbele wala nyuma lakini mwanaume unahangaika mpaka linabubujika sembuse mai waifu wako kabisa unayemwelewa vizuri? Mtafuta kiki tu huyo hana lolote [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1120005
Ebwana eeeeh! 🙄
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,kesi imegeukia kwangu tena..

Sawa sawa,pambana na hzo sup bhana,safari hii mimi nmeclear sina vimeo[emoji2][emoji2][emoji123]
Kwani ni kesi au ulikua unanisimulia maisha unayoishi huko Tanga kwamba unaoshwa ukiwa umekaa kwenye kigoda....

Poa ngoja nipambane na hichi kimeo kimoja 😀😀
 
Back
Top Bottom