Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1121560
 
Unambiwa uki ingia humu ndani huwezi kuskia sauti ya kitu chochote , ispokuwa utaskia Jinsi damu yako inavyo tiririka mwilini, utaskia mapigo ya moyo wako, utaskia sauti ya hewa yako pindi unapo pumua, na utaskia sauti ya viungo vingi ndani ya mwiliwako...
 
katika maisha yake baada ya kuwa mkubwa ali amini kuwa damu na mafuta ya watoto wakike wadogo akitumia zinaifanya ngozi yake kuwa nyororo(soft) hivyo kuonekana mdogo, kadrisiku zilipo enda alianza kuwa na tabia za kivampire na cannibas
 
Back
Top Bottom