Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190608-WA0004.jpeg
 
Welcome to Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers!

Open Discussion Forums is a place where you can make a big difference, it gives you an opportunity to learn how to think, foster your mental faculties and broaden your scope of knowledge by sharing valuable skills and experiences to others, while making a difference in improving people's lives!

Join Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! today and learn how to revolutionize your mind to effect a lasting change.
 
I love Bongo

Kamishna wa TRA wa Kodi za Ndani ameambiwa akamshushe cheo aliyekuwa Meneja wa TRA wa Wilaya ya Ilala wa Mwaka 2018 kwa kufanya makaridirio ya kodi vibaya na kufunga kiwanda cha kutengeneza CD kariakoo.

Cha kushangaza yeye ndio alikuwa Meneja wa Wilaya kabla ya kupandishwa cheo Mwaka huu..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Siku niliyooa watu wengi hawakujua…na haimaanishi sikuwa na pesa ya kununua koti au gauni la harusi kwa mke wangu, sikuona kama vitu hivyo ni vya msingi sana."

"Tulienda hapo kanisani pete tukanunuliwa na Padre, tena zilikuwa za shaba. Padre pia alitununulia soda, nakumbuka mimi nilikunywa pepsi na mke wangu alikunywa mirinda...Baada ya hapo nikaenda zangu lab (maabara) kuendelea na shughuli zangu."

huyu jamaa angelikuwa ni muhindi ndoa ingelivunjwa siku hiyo, siku saba za mwanzoni mwa ndoa unakwenda maabara kufanya uchunguzi wa panya bin korosho
 
Alok Menon: 'Pengine maisha yangekuwa tofauti kama ningelinyoa nywele zangu mwilini, lakini kwanini iwe hivyo?'
Alok Vaid-Menon ni mshairi na mwana harakati wa kutetea wanamitindo waliozaliwa na jinsia mbili (kiume na kike) katika mitandao ya kijamii. Lakini mara nyingi watu hukemjeli.


Mara ya kwanza alipoifahamisha familia yake kuwa ana jinsia mbili na kwamba angelipendelea kuangazia zaidi jinsia ya kike, swali la kwanza lilikua , "Lakini una nywele nyingi sana mwilini! Utapata tabu sana kuzitoa zote ili upate muonekano wa kike, kwa hivyo achana na wazo hilo."

Familia yake iliangazia zaidi nywele nyingi alizokuwa nazo mwilini kiasi cha kumzuia kujitambulisha kwa umma kama mwanamke.

1121590
 
Back
Top Bottom