Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alok Menon: 'Pengine maisha yangekuwa tofauti kama ningelinyoa nywele zangu mwilini, lakini kwanini iwe hivyo?'
Alok Vaid-Menon ni mshairi na mwana harakati wa kutetea wanamitindo waliozaliwa na jinsia mbili (kiume na kike) katika mitandao ya kijamii. Lakini mara nyingi watu hukemjeli.


Mara ya kwanza alipoifahamisha familia yake kuwa ana jinsia mbili na kwamba angelipendelea kuangazia zaidi jinsia ya kike, swali la kwanza lilikua , "Lakini una nywele nyingi sana mwilini! Utapata tabu sana kuzitoa zote ili upate muonekano wa kike, kwa hivyo achana na wazo hilo."

Familia yake iliangazia zaidi nywele nyingi alizokuwa nazo mwilini kiasi cha kumzuia kujitambulisha kwa umma kama mwanamke.

View attachment 1121590

"Mara ya kwanza alipoifahamisha familia yake kuwa ana jinsia mbili..."

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Kwani familia yake haikujua? Hawakumwona alipokuwa mtoto?
 
61525377_2572897156092272_1096801812087588169_n.jpg
 
Back
Top Bottom