sasa bada ya kufa uyo mtu katika greek mythology wakaja kumbatiza yule mtu kama "the greek god of death" yan mungu wa kifo wa ugiriki ambapo walikuwa wakiamini huko alipo yan kuzimu alikuwa anaendelea na kazi yake ya kukatisha watu maisha ambapo wali amin kuwa kila mtu anae kufa, yeye ndio muhusika..

na kuna mgonjwa katika hiyo historia inasemekana aliumwa kiasi kwamba cha kutaka kufa sasa kunasiku akiwa na ndugu zake alikuwa amezidiwa alionekana akiongea na kusema " niache niache nataka kuishi"
toka hapo wakawa wana amin uyo lord of death yupo kweli sasa baada ya miaka mingi kupita uyu alisahaurika mpaka kuanzia karne ya 16 kipind cha mideva era wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa plague/tauni huko ulaya..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.