Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

unambiwa hili Bangungut ni hatari kwasababu lina 10% ya kukusababishia kifo , hususani pale unapo shtuka ghafla ukiwa katika hali hiyo hivyo inauwezo wa kukusababishia heart attack (mshtuko wa moyo) na kufa ,ndomana mda mwingine unamkuta mtu amelala salama lakini ana amka malehemu...
 
Kevin Fast, nazan jina hili litakua ni geni kwako! jamaa huyu ni raia wa Canada,

ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la Lutheran huko kwao Canada
aliweza kuishangaza dunia siku ya tarehe 17, septemba 2009 baada ya kuvuta ndege aina ya CC-177 Globemaster III katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Trenton, uliopo Ontario huko Canada.
 
Huyo khatwe nasikia ni mpishi mzuri sana ni mashuhuri zaidi ya marehemu mpishi Pancho
So kualikwa pilau kwake ni sawa na kualikwa na sir Ferguson mcheki game [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
taire taire mgangaaaaa
ahsante sana kwa hii taarifa mwenzako nilishaanza kuwa na wasiwasi na huyu mpishi mwenye miaka 45 ya kuzaliwa.
kuna mwanamke fulani tokea juzi amenichukiza sana.
ameniletea vileja vigumu kama makalio ya wanawake wa sudani ya kusini
 
Kevin Fast, nazan jina hili litakua ni geni kwako! jamaa huyu ni raia wa Canada,

ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la Lutheran huko kwao Canada
aliweza kuishangaza dunia siku ya tarehe 17, septemba 2009 baada ya kuvuta ndege aina ya CC-177 Globemaster III katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Trenton, uliopo Ontario huko Canada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…