Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

capitalpool ndiyo umeamua kukiweka hadharani kigezo changu ninachokitumia kwa ajili ya kutafuta mwanamke anayefaa kuishi nami mpaka kufa kwangu?

uyo mwanamke vidole vyake ni virefu kuliko nambari 1 ya kiarabu.
1121713
 
binafsi namuogopa huyo jamaa, kuna wengine vichwa vyetu tunavitumia kwa ajili ya kufugua nywele tu na si kazi nyengineyo.

kuna jamaa anaitwa kahtaan kama nipo sahihi wanaendana mnoo

"Ukweli" bila framework hauwezi kujulikana.

Kwa sababu

1. Ukweli unategemea framework.
2. Mambo yanabadilika na muda.
3.Mchakato wenyewe wa kutafuta ukweli unabadilisha ukweli.
4.Ukweli mmoja unategemea ukweli mwingine ili kuuthibitisha
5. Hakuna ukweli unaosimama bila makisio ambayo hayajathibitishwa.

Ndiyo maana, tukiongelea ukweli, ni lazima tuongelee framework, assumptions na margin of error.

Kwa mfano

Namba kumi katika framework ya decimal system ni 10.

Lakini, ukitaka kuandika namba kumi katika binary system, huandiki 10, unaandika 1010.

Sasa mtu akikuuliza, kwa ukweli, namba kumi kitarakimu inaandikwaje?

Bila kujau framework, unaweza kuandika 10, kumbe mtu anataka kuandika machine language code za computer, na kwa binary code, kumi inaandikwa 1010.

Na hiyo hiyo namba kumi katika hexadecimal framework inaandikwa A.

Sasa bila framework, kumi kuiandika ni vigumu, maana anayeandika 10 yuko sawa, anayeandika 1010 yuko sawa, na anayeandika A yuko sawa.

Kutegemea na framework.
​
Wanasemaga ni mtu yule yule mmoja...

Wapo watu kama wanne hivi ukikuta wamekusanyika pamoja halafu wasiwe na mihemko utafurahia sana kwenye hii mijadala yao. Na wakianza kimalkia basi ni kile chenyewe kabisa.

Umuhimu wa kujisomea
 
huyu mtu akishaanza kumwaga kitaliano chake cha uzunguni ujiandae na ubishani wa ukweli, mzee wa thibitisha kama mungu yupo.
hivi alishwahi kupoteza pambano humu ndani?
View attachment 1121681

Jamaa namkubali upande wa kuwa ni Mwanahip Hop mzuri sana yaani mtamaduni kindakindaki hata kuandika punch lines anaweza
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
dawa ya moto ni maji na si moto mwengineo

ngoja nikutafsirie kidogo:
akina mama wa kitanzania acheni magazeti yetu ya japan times kuyafungia maandazi na chapati.
shikeni akili zenu vizuri na huyo aliyepiga marufuku ya mifuko akome

kwa maelezo zaidi tembeleeni tovuti yetu mpate taarifa hii.


The Japan Timesは国内で最大級の販売数を誇る英字新聞であり、120年の歴史に裏付けられた多様性と独自性のある日本関連の英文ニュースを提供しています。
The Japan Times WebsiteではNewsを主軸に幅広い記事を毎日80本配信。パソコンやタブレット、スマートフォンでいつでもどこからでも信頼性の高い、国内外のニュースを英語で読むことができます
 
Back
Top Bottom