Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nyumbani kule kwa mzee anayegawaga ma iPhone...[emoji16][emoji16][emoji16]Umenionea wapi?
Nyumbani kule kwa mzee anayegawaga ma iPhone...[emoji16][emoji16][emoji16]Umenionea wapi?
😂😂😂Oh! Basi sisemi tena
Tutaona la kufanya bro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Juice kwa wingi bro Maji ya dhahabu situmii
Hujambo?🆒 🆒 🆒 😛 😛 😛
I feel You👌👌👌I ❤ it
maana yake nini neno hujambo.Hujambo?
Nakusalimia[emoji684] [emoji684] [emoji684] [emoji14] [emoji14] 😛
binafsi namuogopa huyo jamaa, kuna wengine vichwa vyetu tunavitumia kwa ajili ya kufugua nywele tu na si kazi nyengineyo.Mapambano ya humu kwani huwa yana mwamuzi? Ila jamaa ana akili sana na amesoma mavitabu mengi ya kila aina. Kupambana naye inabidi ujipange sawasawa...
🚮🚮🚮🚮🚮🚮maana yake nini neno hujambo.
sio wote tunaozungumza kiswahili fasaha
na mimi pia kheri ya krismasiNakusalimia
Khaaana mimi pia kheri ya krismasi
Which sign are you?