Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2349.JPG
 
Nyota wa mpira wa Miguu wa Arsenal na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Mesut Ozil amefunga Ndoa Ijumaa ya jana (June 7) na Mpenzi wake wa muda mrefu Amine Gulse.
.
Ndoa hiyo ilifungwa nchini Uturuki na kuhudhuliwa na Rais wa Nchi hiyo, Recep Tayyip Erdogan vilevile na Sead Kolasinac, Mchezaji mwenza wa timu ya Arsenal.
.
Siku moja kabla ya Ndoa yao Ozil na Mke wake, Amine walitangaza kuwa watasherehekea ndoa yao kwa kuwasaidia Maelfu ya watoto duniani kote waliokosa pesa/ Msaada wa kufanyiwa upasuaji.
 
Back
Top Bottom