Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Juice kwa wingi bro Maji ya dhahabu situmii
Shemeji gani tena bro? 😀
Naona kila mtu anaruka kiunzi 😬 😬

Kwani kuna nini Bro?
 
1121675
 
huyu mtu akishaanza kumwaga kitaliano chake cha uzunguni ujiandae na ubishani wa ukweli, mzee wa thibitisha kama mungu yupo.
hivi alishwahi kupoteza pambano humu ndani?
View attachment 1121681
Mapambano ya humu kwani huwa yana mwamuzi? Ila jamaa ana akili sana na amesoma mavitabu mengi ya kila aina. Kupambana naye inabidi ujipange sawasawa...
 
Back
Top Bottom