Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

binafsi namuogopa huyo jamaa, kuna wengine vichwa vyetu tunavitumia kwa ajili ya kufugua nywele tu na si kazi nyengineyo.

kuna jamaa anaitwa kahtaan kama nipo sahihi wanaendana mnoo

"Ukweli" bila framework hauwezi kujulikana.

Kwa sababu

1. Ukweli unategemea framework.
2. Mambo yanabadilika na muda.
3.Mchakato wenyewe wa kutafuta ukweli unabadilisha ukweli.
4.Ukweli mmoja unategemea ukweli mwingine ili kuuthibitisha
5. Hakuna ukweli unaosimama bila makisio ambayo hayajathibitishwa.

Ndiyo maana, tukiongelea ukweli, ni lazima tuongelee framework, assumptions na margin of error.

Kwa mfano

Namba kumi katika framework ya decimal system ni 10.

Lakini, ukitaka kuandika namba kumi katika binary system, huandiki 10, unaandika 1010.

Sasa mtu akikuuliza, kwa ukweli, namba kumi kitarakimu inaandikwaje?

Bila kujau framework, unaweza kuandika 10, kumbe mtu anataka kuandika machine language code za computer, na kwa binary code, kumi inaandikwa 1010.

Na hiyo hiyo namba kumi katika hexadecimal framework inaandikwa A.

Sasa bila framework, kumi kuiandika ni vigumu, maana anayeandika 10 yuko sawa, anayeandika 1010 yuko sawa, na anayeandika A yuko sawa.

Kutegemea na framework.
​

Kumbe unamuweza kabisa mbona umejenga hoja vizuri na yeye ndicho anachokipenda malumbano ya Hoja
 
62222705_149431286223696_8419532367345491015_n.jpg
 
Back
Top Bottom