Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ni baada ya kumlaumu refa kwa kupuliza filimbi kwa nguvu kubwa huku akisema maneno machafu "*** ME, THAT'S WAS LOUD" na refa hakuremba hapohapo akamuonesha kadi nyekundu jamaa akatoka nje ya uwanja huku nyuma akiwa kaacha rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu mapema zaidi kuliko yeyote yule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…