Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Namhala. Tufafanulie kidogo kuhusu black holes. Najua huwa yanatokea wakati nyota zinapozeeka na kufa lakini kwa nini wanasema kuwa ndanimwe kanuni zote za Fizikia tuzijuazo hukoma - hakuna muda, hakuna space, hakuna kila kitu? Ni kwa sababu nguvu ya uvutano ni kubwa mno na inasigina kila kitu au ni nini? Mbali na kufakamia nyota na hata magalaxy mengine jirani, mablack holes yana faida yo yote katika mfumo mzima wa kimalimwengu?
Najua umesoma sana maandiko ya Hawking. Msaada please [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Polepole kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiranga is but a small fish in an even smaller pond.
People change“Katika utawala wangu nataka niwashushe chini matajiri wote ili waishi kama mashetani.” Magufuli May 13, 2016
“Mimi ningependa nitakapomaliza muda wangu angalau niwe na mabilionea wafanyabiashara zaidi ya mia moja. Nitafurahi sana.” Magufuli June 7, 2019
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mkuu kuna sehemu umeniuliza kuhusu symbol hii ni ya life symbol
Kuna jamaa nilimgomea kwa sababu nilikuwa sijisikii vizuri halafu alikuwa hajanitaarifu kuwa analeta mzigo tena usiku usiku. Ilibidi tu akamue hivyo hivyo mi niko kitanda cha juu wao cha chini. Jamaa hata nguo hawakutoa ila kitanda kilikuwa kinatikisika balaa. Leo hii ni kigogo serikalini nikimkumbushia huwa anacheka sana. Maisha [emoji16][emoji16][emoji16]Sisi ambao hatukuwa na SUMU wazito tuliteswa sana
Salam Mzee wa pwani[emoji120][emoji120][emoji1787][emoji1787], salaam mzee wa mwakaleli
HahahahaPolepole kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]