Email eeh...Natumia app na kwenye app attachment nyingi zinakuwa na matatizo. Nitajaribu kukuwekea hapa. Kama una email ambayo haina jina lako halisi (kama hutaki kujulikana) nipe na nitakutumia huko.
Blessings [emoji1545][emoji1545]
Asante sana binti yangu...
Mungu Aendelee kukulinda...
Inshallah siku moja tutaonana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wabeja namhala. Napilaga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Feel better, Namhala!
Dah! Coco!Huyu ni KE au ME, Bro?
Ndio 😀Vipele 😁 😁
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dah! Coco!
🙏🙏🙏.... ndio nilikua nataka kukufata PM kwaajili ya hii kituJaribu hapo kama utaweza halafu nipe mrejesho. Jaribu kutumia kompyuta/web na siyo app...
View attachment 1123196
View attachment 1123197
Wabeja namhala. Napilaga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nakutakia uponaji wa haraka Bro, pole sana pia.Wabeja namhala. Napilaga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Umeweza kudownload.[emoji120][emoji120][emoji120].... ndio nilikua nataka kukufata PM kwaajili ya hii kitu
Asante bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nakutakia uponaji wa haraka Bro, pole sana pia.
Hakifunguki mkuu, ña sina computer hapa sasa hiviJaribu hapo kama utaweza halafu nipe mrejesho. Jaribu kutumia kompyuta/web na siyo app...
View attachment 1123196
View attachment 1123197