Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mimi huwa nawashangaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1124247

Hao ni kama wazee wa kubet ni Risk takers imagine mpira wanacheza wengine mtu ana place bet kwamba mtu flani atapewa kadi flani atafunga goli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ heshima yako mkuu...

Vitu vingine unaweza kudhani ni chai tu lakini kumbe ndio uhalisia, muda upo kasi sana..

R.I.P uncle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…