[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
AiseeUnited wako tayari kuongeza £50m kwa ajili ya Wan-Bissaka. (Mirror)
Why, sir?
Kama akifanya mambo mazuri basi wafanyabiashara wanaweza kupiga bao la pili huku wakisema “Si unaona! Umeleta mtu mwafaka”. Kama na yeye akifeli ghafla, basi watoza ushuru wanaweza kushinda na kusema “tatizo sio sisi, ni mfumo na wafanyabiashara”.
Kwema bro na heshima zikurudie maradufu. Nilikuwa sijui. Kumbe ulikuwa umekwama Tanga?
King alikwama MZA wewe Tanga. Sijui yupi kafaudu zaidi...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Una maanisha hiyo stori ni baba Bradha yalimkuta muda mfupi tu baada ya kukuzaa au humu unatumia jina la kijana wako?
Maisha yetu yamejaa vituko vingi sana,hasa kwa sisi wengine wenye maisha ya mjini na kijijini. Yaani ukienda kijijini hakuna kuvaa nguo nzuri wala viatu,tena kwa amri ya mbabe mmoja tu.