Mkuu BAK Umenichekesha sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za waliokotwa jalalani. Umenikumbusha jamaa mmoja kwenye uzi huu kwa jina Rutashubanyuma. Yule jamaa alikuwa busy kwenye uzi huu haijawahi kutokea [emoji23][emoji23][emoji23]alibadilika kabisa namna anajadili hapa jamvini na kuachana na forums nyingine zote alizokuwa anapenda kuchangia mada mbali mbali.
Kwenye uzi huu ukimsemesha hajibu [emoji23][emoji23][emoji23]yuko busy kupost tu kuanzia asubuhi mapema hadi usiku wa saa tano au zaidi. Sijui kapotelea wapi yule mtu. I hope he still kicking.
Labda anahisi ni jerahaDuh! Hii kali aisee
Huwa unahisi/unawaza nini ukiona utupu wa mwanamke mpaka uogope?
Labda anahisi ni jeraha
Fresh sana jamaa, vipi za mornie?Niaje jamaa
Waungwana kama utamsikia mtu anauza gari aina ya v8 new model nzuri, ina vibali vyote.
Kwa bei kati ya milion 600 mpaka 500 rangi yoyote haina shida. Wee mwache tu auze mi sina hela
[emoji18][emoji18][emoji18][emoji19][emoji19][emoji19]