Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] una mawazo kama yangu, kwanza huwa sielewi naishia tu kuchanganyikiwa na hii kitu inaitwa 'milele'
 
“My truth is, I’d love nothing more than to release this incredible music I’ve been ‘sitting on,’ and I’ve been trying for years for that to occur,” she wrote. “There have been so many blockages I have constantly fought myself to not directly speak about.”
 
[emoji23][emoji23][emoji23] una mawazo kama yangu, kwanza huwa sielewi naishia tu kuchanganyikiwa na hii kitu inaitwa 'milele'
Jehovah's witnesses wao wana unafuu kidogo katika hii ishu. Wao wanasema kuwa Yesu Akirudi watenda dhambi wote ambao watakuwa hawajaokoka watachomwa moto once and for all na kufa kimoja na watasahaulika milele na milele. Hakuna cha Jehanamu wala moto wa milele kwa sababu Mungu mwenye upendo na Anayejua kila kitu hawezi kutesa watu aliowaumba mwenyewe katika moto milele na milele. Wananivutiaga sana kwenye hii ishu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…