Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wawili tu inatosha [emoji16][emoji16]Huyo hapana. Kwani hatuwezi kuwa wawili tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Jehovah's witnesses wao wana unafuu kidogo katika hii ishu. Wao wanasema kuwa Yesu Akirudi watenda dhambi wote ambao watakuwa hawajaokoka watachomwa moto once and for all na kufa kimoja na watasahaulika milele na milele. Hakuna cha Jehanamu wala moto wa milele kwa sababu Mungu mwenye upendo na Anayejua kila kitu hawezi kutesa watu aliowaumba mwenyewe katika moto milele na milele. Wananivutiaga sana kwenye hii ishu.
Wawili tu inatosha [emoji16][emoji16]
Uko na akili mingi. Nakupendaga sanaImani ... Imani.. Imani..
You cant mix .. It is either you believe or not..
Ukiweka sayansi sijui nini...Huwezi amini
“Music will always be a huge part of who I am, but there is a process in process … challenges that I still must overcome for that work & future work to see the light of day it deserves,” she wrote. “I will emerge from this cocoon just as beautifully as I have overcome the other processes in my life that were designed to grow for me!”
Muosha huoshwaLoser [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1132042
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muosha HUOSHWA!