Kuna watu wanakera sana bila ya kiasi. Eti: βMiaka 10 tu! Yatapita haya. Imebaki miaka 5 tu!β Mxxx Mnajua maana ya miaka 10 lakini? Ikianza una miaka 8 mwishoe unapiga kura; ukiwa una miaka 60 mwishoe unakaribia kuzikwa; ukiwa una miaka 28 ni miaka yako muhimu ya kufanya kazi
#NakupendaShangazi