Kinakataa bro,nimejaribu lakini wapiHebu fanya testing kama kinakubali bro (hata kama hukihitaji) wakati bado nipo online.
Hulali bro? Au ulikuwa kwenye heka heka za kutimiza majukumu?
Ai givapu...Kinakataa bro,nimejaribu lakini wapi
Nilikuwa kwenye kutimiza majukumu bro[emoji2]
AiseeAi givapu...
Hongera kwa kupigania heshima ya ukoo na Wanyiramba wote kwa ujumla...
Mpaka kielewekeeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani mimi nawazaga kingine bro? [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe umemaanisha hvyo bro
Black Americans na Kwanzaa yao ya Maulana Karenga? Kizungumkuti tupu nao hawa jamaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Black Americans na Kwanzaa yao ya Maulana Karenga? Kizungumkuti tupu nao hawa jamaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukivurugwa na ukawa huna utamaduni wako katika dunia hii ni kizungumkuti. Jamaa yaani wapo wapo tu masikini hawana mbele wala nyuma. Hatuchekani nao kwa sababu hata sisi japo tuna utamaduni wetu lakini tunaudharau na hatutaki kutangamanishwa nao...Uko vizuri poti! Wanaokoteleza maneno machache ya Kiswahili! [emoji1][emoji1]