Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bolton na Lindsey Graham watakuwa wamenuna vibaya! Wale Waajemi ni hatari sana, zana zao nyingi wanatengeneza wenyewe halafu wana mute, hakuna mwenye uhakika na kile walichonao wao!
 
Wayahudi wanataka kumtumia kumaliza mgogoro wao na Iran. Wasaudia nao wamooo...Halafu yatokee maajabu Iran tayari wawe na bomu la Nuklia ndiyo pataeleweka sasa. Wayahudi kweli ndo wanaendesha dunia. Wateule wa Mungu...
 
Bibi anataka kumuungiza chaka jamaa. Alishindwa kumushawishi Obama mpaka leo hawaelewani. Kampata huyu mzungu wa reli basi kila kitu anamsikiliza Bibi! [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…