Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ana siri zake nzito sana na bila shaka Putin alimpigia na kumuonya na jamaa akaufyata. Venezuela pia Putin alionyesha ubabe wake akaufyata pia. Bora maana wangekufa watu wengi sana ambao ni innocent.

Kwa sasa Putin ndiye anaongoza dunia. Kila anachosema Trump anaufyata. Sijui ana siri gani nzito kumhusu huyu dikteta uchwara....
 
Trump called Iran's decision to shoot down the drone "loose and stupid" when speaking to the press following a discussion with Canadian Prime Minister Justin Trudeau. The comments came following a morning meeting with his top national security advisers over the downing of what the U.S. military said was an unarmed and unmanned U.S. RQ-4A Global Hawk drone flying over the Gulf of Oman near the Strait of Hormuz.
 
"Shooting down the American spy drone had a clear, decisive, firm and accurate message," he said, translated from Farsi. "The message is that the guardians of the borders of Islamic Iran will decisively respond to the violation of any stranger to this land. The only solution for the enemies is to respect the territorial integrity and national interests of Iran."
 
Mila na desturi za makabila mbalimbali hupaswa kuenziwa na kuendelezwa na jamii husika, (haswa tamaduni nzuri na kutokomeza zile mbaya) ambapo kwa pamoja leo naomba tuangazie kuhusu utamaduni wa Wafipa Urithi wa Mali, Mke baada ya msiba.
 
UTARATIBU WA KUMALIZA MISIBA NA URITHI
Katika kumaliza kilio kwa Wafipa, jambo la kwanza ambalo mpaka sasa linafanyika ni kuitishwa kwa mkutano wa awali wa ndugu ukiongozwa na Mzee wa boma au wakuu wa ukoo wa kila upande mume na mke, ambapo kwa pamoja hujadili nani atamrithi marehemu (kwa lugha ya kifipa ikijulikana kama ‘akakwiliya’.)
 
KUHUSU URITHI
Wanaoweza kurithiana ni watoto wa baba mkubwa na mdogo, watoto wa mama mkubwa na mdogo, Binamu na pia mtoto anaweza kumrithi baba yake kama ndugu za huyo baba wameisha (hata hivyo urithi huo ni wa kusaidia kumtunza mjane au mgane na sio kuchukua uhusika wa kuwa mke na mume).
 
Lakini cha kushangaza zaidi katika mila hii ya kurithiana: Msichana anaweza kumrithi shangazi yake na mume wa shangazi akawa mume wake, ambapo Zamani ilikuwa hata shangazi akiwa hai, mathalani akiumwa kwa muda mrefu msichana (Mpwa) wa shangazi alipelekwa kwa shangazi yake ili kumsaidia katika kazi zote hata kulala na baba (Mume wa shangazi) ili kumzuia mumewe huyo asilale nje ya ndoa. Pagumu hapo! Nikulala tu sijui kama kuna mengine yanaendelea……
 
Mkutano huu wa ‘Akakwiiya’ kwanza hufanyika kwa siri kidogo ili wanandugu wawe huru kujadili nani haswa anastahili kukabidhiwa jukumu hilo la urithi, ambapo baada ya mkutano huo wa kificho hatimaye hufuatiwa na mkutano wa hadharani ambao kila mtu anayetaka anaweza kuhudhuria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…