Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Washamba 🚶‍♂️ 🚶‍♂️
Siyo wote. Kama vile Wahaya wote siyo mal_______ [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Halafu limbukeni sana yanii,
Kuwazidi Wahaya? [emoji16][emoji16][emoji16]
Wasuku wamepitiiza 😬 😬
Ukitaka kujipima uzuri wa afya yako kamwe usijilinganishe na mgonjwa - hasa kama unaamini kuwa afya yako ni nzuri kwa asilimia 100.

They teach this in Logic 101 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Jamani jamani take it easy na huu utani..
 
Bahari kutoka pwani yenye utajiri wa mafuta Afrika magharibi sasa ndio hatari zaidi duniani kwa ubaharia, kwa mujibu wa ripoti mpya.
One Earth Future, ambayo hutoa taarifa ya kila mwaka kuhusu uharamia baharini, inasema kwamba licha ya kupungua kwa mashambulio kwa kiasi kikubwa katika baadhi ya maeneo duniani, visa hivyo vimekuwa vikiongezeka Afrika magharibi na sasa vimekithiri kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
Lakini kwanini kuna ongezeko hilo na ni nani anayelengwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…