Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante mkuu kwa nondo zako za leo. Nimejifunza mengi sana...Padmore akatoa rai ya namna ya kulitanzua tatizo hilo.
“Tutauandika mwaliko kwa namna ambayo wakikubali kuja, mabwana zao wa kikoloni hawatokuwa tena na imani nao, na watajikuta peke yao,” alisema Padmore.
Taarifa ya mwaliko wa mkutano huo wa mwisho wa mwaka wa 1958 iliulaani vikali ukabila. Kwa vile ukabila ulikuwa moja ya nguzo za ASP, kama ilivyotazamiwa Karume aliupinga mkutano wa Accra.
Bwana wewe subira yavuta heriHuwa sipendi sana kusubiri,..
Sawa HKL,..Bwana wewe subira yavuta heri
teh teh hizi makala nazisoma muda huu kwenye tovuti fulani ndio naziwekaAsante mkuu kwa nondo zako za leo. Nimejifunza mengi sana...
Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]baadhi ya nyakati mpaka inafikia hatua unahoji maamuzi ya mungu kwa nini alimuumba mamba?
hawapi wenzake raha wanapokuwa na hamu ya maji, cha ajabu yeye muda wote yupo majini wala hakerwi?
mamba ana wivu wa kipumbavu kuliko baradhuli (gay) anapomuoena wivu mwanamke kupewa matiti na sehemu ya mbele ya siri.
Sawa HKL,..
Nimeona bro. Nilitaka nifanikiwe kwanza ndo nikujibu. Bado nahangaika. Nikifanikiwa tu utanisikia.Bro kwema nimekucheki kule
Hope all is well with you ?
[emoji3][emoji3][emoji3] huyu binadamu akishapata 'soju' anachangamka kupita kiasiMkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Anaanza UE tarehe 1 Julai. Bila shaka yupo katika maandalizi. Tumuombee [emoji1545][emoji1545]Hivi huyu ndugu yangu Davet yuko wapi kapotea sioni like zake.