Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Chizi kweli wee 😂
Hehehehee umepona sasa

Ngoja nikupe mchapo wa luis suarez

Eee bana mechi ya jana sijui juzi Suarez si akadai penat kisa golikipa kauzuia mpira kwa mkono ndan ya boks hatari

Kuna jamaa alivamia uwanjan,mchezaji wa timu pinzan akamkata mtama mvamizi uwiii suarez si akaenda kulalamika kwa refa ili mchezaji huyo apewe kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…