Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

huyu PLO Lumumba ni fala kweli, ndio nini kutudharau kiasi hicho watanzania wote kwa ujumla.
  1. ametudharau kwa kiwango chetu kibovu uwanjani (hapa mimi simo sishabikii timu mbovu)
  2. ametudharau malofa wote tusiojuwa kiingilishi tukiongozwa na mkuu wetu wa msafara wa mamba : no shot on target for tanzania ndio sentensi pekee niliyoifahamu.
  3. huyu mtu apigwe marufuku kuzuru Tanzania, ni mtu hatari kwa ustawi wa taifa letu kuliko mabeberu wachimvi, mwanamme umejaaliwa sura mbaya na lugha unayotumia pia ngumu kama sura yako, ovyo kabisa
ebluac
dusmbefs
wielmins
asquadated
abvioum
obminiols
visciviate
excercercing
dumiols
obminiols
​
jamani naomba maana ya maneno hayo hapo juu, kamusi langu la takiluki limeliwa na panya shume.

mmarekani mwekundu
mmarekani mweusi
tu pac mzee
wa hip hop free style
C++++, kotlin, java
celine dion
Mariah carey
server
masikini wakipata (
mashabiki wa Liverpool)

na wengineo msaada tafadhali, mficha tupu yake ya mbele hawezi kupata kizazi lakini walichosahau wahenga wapo wengine hawafichi tupu zao lakini ni wagumba (tasa).
hivyo basi huu msemo unapaswa pia upigwe marufuku kutumika kwa sababu umewadhalilisha wale wote wasiobarikiwa kizazi.
hivi jamani ina maana dada shida sepetu na yeye ameficha tupu yake ya mbele mpaka muda huu ndio maana hapati kizazi?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…