Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3][emoji3][emoji3] ahsante BAK ila mimi nilikuwa namchokoza tu huyu rafiki yangu wala sikumbuki hata lini nilimsalimia
ulinisalimia siku uliokuwa unachati na mzee wa code.
kuna swali moja alikuuliza unajua kupika chapati?
kama haitoshi alikwambia njoo home nina library ya vitabu tupate kusoma pamoja.
kama haitoshi comment yako moja uliandika zamani nilikuwa nanunua vitabu vilivyokuwa vikiuzwa chini sijui maeneo ya ubungo.

nimerithi nafasi ya server.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…