King, salama?Kitambo sana.Tabu kweli kweli
Salama ndugu, nashukuru sanaKing, salama?Kitambo sana.
Pole bro, naona juzi kati ulikua unapigania afya kidogo.
Salama bro, namshukuru Mungu;Changamoto ni za kawaida tuu.Salama ndugu, nashukuru sana
Vipi mambo yako?
Hizo huwa hazikosekani kikubwa uzima, afya na kuendeleza mapambano...Salama bro, namshukuru Mungu;Changamoto ni za kawaida tuu.
Sure bro.Hizo huwa hazikosekani kikubwa uzima, afya na kuendeleza mapambano...
Naona mpo na Prisca anaendelea kuwapa madini tu, juzi kati nimemkuta na mambo ya Nyegezi jana kaja na mambo ya vipara