Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukisikia true love ndiyo hii sasa. Kwema Bradha?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Huyu Prisca huyu noma sana bro
 
Ulikuwepo alipokuwa anashusha madini juu ya mti wa mlonge mpaka tukambatiza Mama Mlonge? Kama hukuwepo muombe arudie tena somo lile. Nadhani ndiyo somo lake mojawapo lililobamba sana kuliko mengine yote...that's my rolo modo indeed wallahi The One and Only one Amun Ra Anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mti wa Mlonge sijaona, ngoja nikatafute notes.
 
Kwema bro.
Bahati mbaya sana huwezi jua kama bidada anampenda kweli.Haya maisha haya.

Umeona hizo sintofahamu za UKIMWI?
Ni kwa nini kirusi cha UKIMWI hakiwezi kuonekana moja kwa moja kwenye vipimo kama virusi vya magonjwa mengine? Ni kidogo sana na vipimo havina nguvu ya kukiona au inakuwaje? Hapa huwa pananitatiza japo naamini UKIMWI upo kwa sababu ushaua jamaa zangu wa karibu wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…