Shukrani sana,Habari njema sana hii, ni furaha kama ulivyo furaha kufahamu hivyo
Unajua vizuri sana muktadha na mawanda ya hiyo statement...Acha uoga SYB.. If you die you die!! Si ndio statement yako hiyo
MzeeBaba ulikesha nae huyu si bure.. alfajiri umemposti... kweli kipenda roho..Si umtafute tuuu..