Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mtu aliyewahi kukiona hicho kirusi cha UKIMWI laivu? Kama yupo alitumia vipimo gani na kwa nini vipimo vingine visikionyeshe moja kwa moja?

Kuna tatizo mahala kwenye hii ishu. Sipati picha watu wa conspiracy wanavyotibuka na hii ishu...
HIV yupo ila utata upo kwenye AIDS.
Na wanadai HIV yupo kabla ya 1998 ila AIDS imejulikana hiyo 1998 na haijulikani kwanini AIDS haikuwepo kabla ya 1998 licha ya kuwa HIV alikuwepo.i.e kabla ya 1998 watu wote waliokua na HIV walikua ni career tuu, kirusi hakikudhuru afya zao.Na hata baada ya 1998 bado kuna watu wenye HIV na hawana AIDS(career).

Deception anadai ARVs ndio zinasababisha Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) kama ambavyo chemotherapy inawadhoofisha baadhi ya wagonjwa wa Cancer kama sio wote.
 
Nimekupata bro. Dunia ya watu hii. Nitajielimisha zaidi kuhusu suala hili katika pande zote mbili. Asante sana.
 
 
Wanawake wengine (siyo wote) katili sana.
 
  1. kucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
  2. tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
  3. pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
  4. msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.
  5. mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.
usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.

mabikira wawili = solskjaer + ed woodward

makungwi = mashabiki wa manchester united wanaotamani usajili wa wachezaji.

alfajiri = mwezi Agosti


bangi za usiku za mkorea mwenye njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…