mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tunamshukuru Mwenye Enzi Mkuu Mungu kwa Uzima,Afya,Rehema tele anazotujalia
AmenTunamshukuru Mwenye Enzi Mkuu Mungu kwa Uzima,Afya,Rehema tele anazotujalia
Tuna safari ndefu sana ya kuwatoa hawa wahuni madarakaniJamiiForums kwa Twitter ni cha mtoto, yaani kule watu wamepinda aisee! Wanawasemea mbovu hao maccm mpaka yanakimbia kila wakijaribu kufurukuta wanapigwa tena. Natamani na kitaa ingekuwa hivyo labda ingesaidia kuwaondoa hawa wahuni madarakani.
HahahahaIla ubaya wa kule ukifanya masihara wasio julikana wanadili na wew bora hapa unaweza kujificha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
CCM hawawezi kutawala milele muda utafika wataondoka tuMie Twitter nimejiunga hivi karibuni miezi mitatu au minne iliyopita. Nilishangaa sana kukuta mashambulizi ya hali ya juu kule kuhusu maovu mbali mbali yanayoshamiri nchini. Halafu nikashangaa pia kuona baadhi ya waandishi wa habari wa nchi za nje ambao wengi wanafuatilia issue ya Lissu na uminywaji wa haki na uhuru wa raia na NGO. Inatia moyo kwa kweli ila ni bahati mbaya Watanzania wengi bado hawana access kubwa na technology labda ingesaidia kuwafumbua macho wale ambao bado wanaimba ccm ni nambari. Siku tukiwa na mfumo wa uchaguzi ambao utahakikisha chama chochote kile kinaweza kushinda viti vingi bungeni na Urais na wakivurunda nao wanapigwa chini labda ndiyo tutaanza kuyaona maendeleo ya kweli. Sijui hilo litatokea lini maana miaka 60 sasa bado ni maccm tu, labda tu subiri miaka 60 mingine [emoji57][emoji57][emoji57]
Trump anaona White house kama Trump Tower tu na urais kama biashara ya familia yake hapo ndipo anapobugiImagine Obama au kiongozi mwingine ye yote (wakiwemo wachovu wetu huku Afrika) angejaribu kufanya huu upuuzi wa kuweka wanafamilia tena wasio na uzoefu wo wote katika nyadhifa kubwa kubwa kama hizi serikalini. Moto ambao ungewaka hapo sipati picha. Leo hii mkwilima Myahudi (Kutchner) ndiye anaongoza diplomasia ya Marekani kati ya Wayahudi na Wapalestina na Mashariki ya Kati nzima. Ajabu sana !!!
Mia mia mkuuYaani we acha tu Mkuu ile White House ingewaka moto. Ndiyo utaona undumilakuwili wa hawa Republicans.
Bob Marley-
Mkuu huo utani yaani JLO naye ukisema wenye msa naye anatoka kweliMsambwax wa JLO huo nje nje [emoji16][emoji16]
TeheteheHaka kadada watu wamemdungua sana, basi tu, angekuwa yupo bongo hata mimi mlalahoi ningebahatisha, na asithubutu kukanyaga bongo, nitamwendea kwa babu bagamoyo mpaka nami nimpate [emoji23][emoji23][emoji23]