Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mjadala mzito huu. Sababu ziko wazi na zinaeleweka. Ngoja tufakamie likes tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa neema tulio pewa na Allah kama hadi leo tu mafukara why tusiwe bara la giza.
Mifumo ya elimu yetu ni mibovu. Tufanye kama wanavyofanya Wajerumani. Watoto wakimaliza high school siyo lazima waende vyuo vikuu. Wanaweza kuchagua kazi wanazotaka kufanya. Anayetaka ufundi magari anakwenda. Anayetaka ufundi umeme anakwenda. Anayetaka Nursing anakwenda. Anayetaka Welding anakwenda. Anayetaka kuwa seremara gwiji anakwenda. Anayetaka kilimo anakwenda...na kozi zote hazizidi miaka mitatu. Mtu anakuwa na maarifa tumizi na anakuwa hajapoteza muda chuoni kusoma minadharia tu ambayo wala haitamsaidia sana. Wakitoka hapo wanaajirika na wanaotaka kujiajiri kunakuwa na mikopo nafuu serikalini ya kuwasaidia kufungua vibiashara na vikarakana vyao kulingana na ufundi waliosomea. Utaratibu huu unasaidia sana....
Kuna mengine yanafanyaga Yoga na yako fleksibo sana jirani waweza shangaa. Yaani unalikunja tu unavyotaka very soft yaani mpaka raha...hakuna mifupa wala nini [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]π π pamoja na mwili huo anajua kukaa vizuri....
Mwanamke siku zote huwa anaamini mume ndiye atakaeanza kufa. Kama unabisha mwambie 'hii nyumba nataka tuiuze' utaskia alafu siku ukifa mi nitaishije na watoto?
Sawa mkuu tuufunge mjadalaMjadala mzito huu. Sababu ziko wazi na zinaeleweka. Ngoja tufakamie likes tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1145510
Salama za kwako Moudgulf
Huyu dogo kweli kala maisha huyu dah ....[emoji16][emoji16]Kanyaga kanyaga, kanyaga twendeView attachment 1145511
Kweli jirani....fulu mvutoKuna mengine yanafanyaga Yoga na yako fleksibo sana jirani waweza shangaa. Yaani unalikunja tu unavyotaka very soft yaani mpaka raha [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ndicho ninachokupendea sasa. Hunaga makuu [emoji7][emoji7]Sawa mkuu tuufunge mjadala
yaani kaka yangu hata mimi umenijumlisha kwenye hilo kundi kweli ππ«Asee, wanawake akili zao wanazijua wenyewe
Wapendwa wako hawajamboNjema
M
yaani kaka yangu hata mimi umenijumlisha kwenye hilo kundi kweli [emoji849][emoji31]
Wapendwa wako hawajambo
Hahahaha naweza wapi kujibishana na MSUKUMANdicho ninachokupendea sasa. Hunaga makuu [emoji7][emoji7]
Mimi mume wangu siwezi mtolea kauli hiyo ππππKama wewe siyo mwanamke hutahusika dadake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha naweza wapi kujibishana na MSUKUMA