Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Likes zimekuwa za shida hata watu wakiwepo. Zimeanza kuwa za mgao. Tatizo sijui nini...
WhatsApp, IG, Messenger na FB zinagoma kumbe bosi yupo viwanja anajirusha.
View attachment 1146858
Sema Jf tu panaboa siku hizi.....
Ukiingia kule ni vijana kusagia wanawake tyuuuu... mara weupe, mara wafupi, mara wembamba, mara wana hela, mara wana elimu... Hamna jipya!!
Wengine wabahili ndio mama weee akiombwa sh 2000 anaandika uzi
Raundi saba non stop. RIP Kamanda kwa kufa ukipigania heshima ya ukoo...
View attachment 1146913
View attachment 1146915