Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha, anaandika uzi wa kuchamba kiss alfu 2[emoji849]
Sema Jf tu panaboa siku hizi.....
Ukiingia kule ni vijana kusagia wanawake tyuuuu... mara weupe, mara wafupi, mara wembamba, mara wana hela, mara wana elimu... Hamna jipya!!
Wengine wabahili ndio mama weee akiombwa sh 2000 anaandika uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…