Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itakuwa bomba sana ili wapunguze kibri cha kujiona wao ndiyo wao.

 
Wanadamu ni lazima ujifunze sana saikolojia ya kuishi na watu wa aina na tabia mbalimbali ili kuepusha migogoro ambayo endapo itaachiwa kukua bila kutafutiwa ufumbuzi haraka inaweza kuja kuzaa madhara makubwa kama vita,mauaji,chuki hata mifarakano ktk jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…