Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mweee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kweli!! Club tajiri Duniani zinasajiri 1st clss players sisi sijui tunafanyaje?!
United ina vielement flan hivi vya uzawa,tunaweza sema imekuwa timu ya Waingeleza

Angalia Waingeleza wanavyolipwa mishahara ya juu pale OT,tena wakiwa na viwango vya kawaida tu

Club Tajiri wanawekeza kwa wanaume wa shoka kweli kweli lakini United inasajiri wanaume watoto,angalia yule beki wa Swansea aliyesajiriwa msimu huu..

Tunaenda na Kisu kwenye Mpambano wa Bunduki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…